×

Wakurugenzi Apple, Facebook, Amazon na Google Kuhojiwa

Mark Zuckerberg (Facebook), Jeff Bezos (Amazon), Tim Cook (Apple) na Sundar Pichai (Google) watahojiwa na Bunge kuhusu wanavyokabiliana na taarifa za uongo kutoka kwa mamlaka.

 

Hatua ya Kamati ya Haki ya Bunge la Marekani kuyachunguza makampuni makubwa hayo matano katika mitandao na teknolojia inategemewa kukamilika na ripoti na mapendekezo ya kishria kuhusu kuimarisha sheria za kuwepo haki sawa katika mashindano ya kibiashara ili kukabiliana na mazingira ya sasa.

 

Sheria hizo zikipitishwa, zitakuwa na taathira kubwa katika kukabiliana na tabia ya kupuuza sheria za ushindano bora katika biashara katika majimbo mbalimbali nchini Marekani.

Leave a Comment