
BAADA ya kukaa nje ya jukwaa la burudani ya muziki kwa muda mrefu, hatimaye mfalme wa taarab, Mzee Yusuf na kundi lake lote la Jahazi Modern Taarab, wameamua kurudi mjini kwa kutoa burudani katika Uwanja wa Taifa wa Burudani wa DAR LIVE uliopo Mbagala-Zakhm jijini Dar es Salaam.






⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx