×

Rasmi: Morrison Ajiunga Na Simba Akitokea Yanga Sc

Klabu ya Simba SC leo Agosti 8, 2020 imethibitisha kumsajili Mchezaji Bernard Morrison kutokea Yanga, ila haijaweka wazi gharama ya usajili na muda wa mkataba

Morrison ambaye ni raia wa Ghana anayedaiwa kuwa na Mkataba na Yanga hadi Juni 2022

Leave a Comment