×

Vodacom Tanzania yawa kinara wa makampuni ya mawasiliano kwenye maonesho ya Nanenane mkoani Arusha

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi,Abdallah Ulega (kushoto) akimkabidhi kombe la ushindi wa kwanza kwa makampuni ya Mawasiliano Mkuu wa Mauzo Vodacom Kanda ya Kaskazini,George Venanty wakati wa kilele cha maonesho ya Nanenane jijini Arusha,wa pili kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Arusha,Idd Kimanta.

Mkuu wa Mauzo Vodacom Kanda ya Kaskazini,(katikati)pamoja na wafanyakazi wenzake akiwa ameinua kombe la mshindi wa kwanza kwa makampuni ya mawasiliano wakati wa kilele cha maonesho ya Nanenane viwanja vya Themi jijini Arusha.


Wafanyakazi wa Vodacom kanda ya kaskazini wakiwa na kombe la ushindi wa kwanza kwa upande wa makampuni ya mawasiliano wakati wa maonesho ya Nanenane yaliyofanyika uwanja wa Themi jijini Arusha.


Mkuu wa Mauzo Vodacom Kanda ya Kaskazini,,George Venanty akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kutangazwa washindi wa kwanza kwa makampuni ya mawasiliano wakati wa kilele cha maonesho ya Nanenane viwanja vya Themi jijini Arusha.

Leave a Comment