Zahera Amesinya Gwambina FC Global Publishers August 11, 2020 0 Comments SHARE THIS: ALIYEWAHI kuwa Kocha Mkuu wa Yanga SC, Mwinyi Zahera kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) amejiunga na klabu ya Gwambina FC ya Misungwi mkoani Mwanza iliyopanda Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu huu. SHARE THIS: