×

CUF Yatangaza Wagombea Ubunge 136

CHAMA Cha Wananchi (CUF) kimetoa orodha ya wagombea ubunge katika majimbo 136 kati ya 264 wa chama hicho katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Jumatano 28 Oktoba 2020.

 


 

 

Leave a Comment