SIKU YA MWANANCHI: Amsha amsha ya mashabiki wa Yanga wakiendelea kuingilia uwanjani kushuhudia sherehe za Kilele cha Wiki ya Mwananchi ambapo mashabiki wamejitokeza kwa wingi kuiona mechi ya Yanga dhidi ya Aigle Noir kutoka Burundi.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Global Publishers and General Enterprises Limited is a registered private company dealing in publishing of weekly Swahili newspapers in Tanzania, namely; Uwazi, Ijumaa, Championi, Amani, Risasi & Ijumaa Wikienda.