×

Zanzibar: Maalim Seif Achukua Fomu Za Kugombea Urais

Maalim Seif Sharif Hamad leo Agosti 30, 2020 amefika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) kwa ajili ya kuchukua fomu za kuteuliwa kugombea Urais visiwani humo kupitia Chama cha ACT Wazalendo

Leave a Comment