
MGOMBEA Urais kwa tiketi ya CCM, Dkt John Pombe Magufuli, leo Septemba 15, 2020 ameendelea kupiga kampeni, ambapo baada ya kumaliza wilayani Chato, mkoani Geita yupo njiani anaelekea wilayani Bukoba mkoani Kagera.
Akiwa njiani amesimama katika maeneo tofauti tofauti na kuzungumza na wananchi kubwa zaidi ni kuwaomba wampigie kura yeye, wabunge wake pamoja na madiwani.. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx