×

Tanzia: Gwiji wa Muziki wa Dansi Saidi Mabera, Afariki Dunia

Gwiji wa muziki wa dansi na kiongozi wa bendi ya Msondo Ngoma, Saidi Mabera, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumanne Septemba 29, baada ya kuugua kwa zaidi ya miezi miwili. Mazishi yatafanyika leo saa 10 jioni nyumbani kwake Goba, Dar es Salaam.

Pakua App ya Global kwenye Google Playstore, App Store. Utasoma Habari, Magazeti yote kutoka GPL #globalpublishers #globalpublishersupdates
⚫ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8

Leave a Comment