×

VOA: Trump Na Joe Biden Uso Kwa Uso Wiki Hii Kwenye Mdahalo -Video

Uchaguzi wenye ushindani mkali nchini Marekani unaingia katika awamu muhimu wiki hii pale Donald Trump na Joe Biden watakapokutana kwa mdahalo wa kwanza Jumanne, ambao hatimaye utawapatia wapiga kura fursa ya kufahamu misimamo tofauti iliyopo kati ya wagombea hao wawili.

Leave a Comment