×

Helikopta Ilivyomshusha Trump Hospitali Baada Ya Kukutwa Na Corona -Video


RAIS wa Marekani, Donald Trump amepelekwa katika Hospitali ya kijeshi ya Water Reed iliyoko Bethesda, Maryland, Ijumaa Oktoba 03, baada ya yeye na mkewe kugundulika wana virusi vya ugonjwa hatari wa Corona (Covid19).

Imeelezwa na msemaji wa White House ya Marekani, Kayleigh McEnany, kuwa rais huyo mwenye umri wa miaka 74, atakuwepo hospitalini hapo kwa siku kadhaa akipatiwa matibabu huku akifanya kazi zake zingine kutokea hospitalini hapo. https://www.voanews.com/usa/trump-dia… ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave a Comment