Rais Magufuli Amjulia Hali Mama Anna Mkapa Jijini Dar Leo
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe, Mama Janeth Magufuli leo Jumapili Oktoba 18, 2020 wamekwenda kumjulia hali Mama Anna Mkapa, Mjane wa Rais ya Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa, nyumbani kwake Masaki jijini Dar es salaam