Maalim Seif Akamatwa Akiwa Kituo cha Kupigia Kura Global Publishers October 27, 2020 0 Comments SHARE THIS: TAARIFA iliyotolewa na chama cha ACT-Wazalendo, inasema mgombea urais wa chama hicho Zanzibar, Maalim Seif Hamad Sharif, amekamatwa na vyombo vya dola wakati akiwa katika kituo cha kupigia kura cha Garagara. SHARE THIS: