The House of Favourite Newspapers

Mwamuzi Shomari Lawi Afungiwa Miezi 12

0

MWAMUZI Shomari Lawi leo Oktoba 29, 2020 amefungiwa miezi 12 kwa kushindwa kuumudu mchezo namba 50 wa Tanzania Prisons FC na Simba aliochezesha Oktoba 22, 2020 katika Uwanja wa Nelson Mandela Mkoani Rukwa.

Leave A Reply