Uongozi wa klabu ya YANGA umemsimamisha Meneja wa Timu, Dismas Ten ili kupisha uchunguzi kufuatia kitendo cha kuwavalisha sare zisizo rasmi wachezaji na benchi la ufundi.