Mbatia wa NCCR Chali Ubunge Vunjo, Kimei wa CCM Ashinda
Global Publishers October 30, 2020 0 Comments
SHARE THIS:
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Nkasi Kaskazini amemtangaza Dkt. Charles Kimei kupata kura 40,170 – Grace Kiwelu wa CHADEMA amepata kura 8,675, James Mbatia wa NCCR amepata kura 4, 949 na Agustino Mrema kutoka TLP kura 606