Nyalandu Aangushwa Ubunge Singida Global Publishers October 30, 2020 0 Comments SHARE THIS: Mgombea ubunge kupitia Chadema Lazaro Nyalandu ameshindwa ubunge katika jimbo la Singida Kaskazini baada ya kushindwa na mgombea wa CCM, Rashid Mandoa aliyepata kura 43,847. SHARE THIS: