×

Mbunge Chadema Aliyembwaga Keissy Agoma Kuachia Madaraka

Aida Khenani, ambaye ni Mbunge mteule wa Jimbo la Nkasi Kaskazini kwa tiketi ya (Chadema) amesema hawezi kuwasaliti wananchi wa jimbo hilo kwa kuwa wamemuamini na kumpa uwakilishi bungeni.

 

“Chama kiliniamini kikarudisha mamlaka kwa wananchi na wananchi wamenipa mamlaka kama niliapa Chadema siwezi isaliti hali kadhalika siwezi wasaliti wananchi wa Nkasi Kaskazini,” amesema Khenani.

Leave a Comment