Global Publishers November 9, 2020 4,044 views 0 Comments
SHARE THIS:
DIWANI mteule Kata ya Kikongo, Kibaha Vijijini (CCM), Fatuma Ngozi na wajukuu zake wawili wamekufa baada ya nyumba yake kuchomwa moto usiku wa kuamkia leo, Kamanda wa Polisi Pwani, Wankyo Nyigesa amethibitisha.