×

#Live: Mkutano Mkubwa wa Injili: Mapambano Hadi Ushindi – Sehemu ya 8

Karibu kutazama mkutano mkubwa wa MAPAMBANO HADI USHINDI LIVE.
Subscribe Channel ya Mkutano: https://www.youtube.com/channel/UCQd2…
Muda ni kuanzia saa 11:40 jioni hadi saa 2:00 usiku kila siku jioni. Tarehe 7-21/11/2020

MADA
Mada ya 1: Darubini ya Imani-Mch Brian Abdallah
Je Yesu alikufa msalabani? Sehemu 2. Je bibilia inasema nini kuhusu kufa kwa Yesu Msalabani. Je alibadilishwa?
#QURAN&BIBILIA #CHANGAMOTONDOA #SANAMU_DANIEL_2
Mada ya 2- Kaya na Familia-Mch. Stephen Letta
Changamoto za ndoa. Zinatatulika kama Yesu akiwa kiongozi wa mapambano ya familia.

 

Leave a Comment