×

Ndugu Wadhibitiwa Kuwaona Wagonjwa, Kisa Corona – Video

KUFUATIA ongezeko la wagonjwa wa Corona nchini, Hospitali ya KCMC imezuia ndugu wa wagonjwa kulundikana hospitali na badala yake mtu mmoja tu ndiye atakayeruhusiwa kumuona mgonjwa tena baada ya kufanyiwa vipimo vya dalili za awali za virusi vya Corona.

Leave a Comment