×

Live: CCM Yapitisha Majina Haya Umeya

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimepitisha majina ya madiwani walioomba kuwania umeya wa majiji, manispaa na wenyeviti wa halmashauri katika maeneo mbalimbali ambayo waliomba kugombea.

Majina hayo yametangazwa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole, lep Novemba 20, 2020, katika Ofisi ndogo za CCM Taifa, Lumumba jijini Dar es Salaam.

Leave a Comment