MENEJA wa wasanii mbalimbali Bongo, Hamad Manungwi almaarufu Petitman amefunguka jinsi alivyoanza kujitafuta tangu kipindi akiwa anafanya mazoezi ya kuigiza mpaka jinsi alivyokuja kukutana na supastaa wa filamu nchini Wema Isaac Sepetu au Tanzania Sweetheart na kumfanya awe staa.