The House of Favourite Newspapers

Wema, Kajala wazichapa klabu!

0

wema

MTIFUANO! WEMA, KAJALA WAZICHAPA KLABU!
-Warushiana glasi, walinzi wahenya kuamua ugomvi
-Unajua chanzo ni nini?
-Je, ni klabu gani hiyo?

WAZIRI MKUU TZ NI HUYU HAPA!
-Hana makundi wala mtandao!
-Jina lake kuwashangaza wengi!
-Unataka kumjua ni nani, anatoka wapi na historia yake?
-Kwa nini yeye na si wengine?

FAMILIA YATINGA HOSPITALI IKIDAI PESA!
-Unajua ni familia gani hiyo?
-Kwa nini ifanye hivyo?

AFYA YA JOHARI YASHTUA WENGI!
-Unajua afya yake ikoje?
-Chanzo cha hali hiyo ni nini?
-Kwa nini awe hivyo?

MAJIBU YA MASWALI YOTE HAPO JUU UTAYAPATA KATIKA GAZETI LAKO LA AMANI NOVEMBA 19, 2015

JIUNGE NA GLOBAL BRAKING NEWS

GLOBALBREAKINGNEWS100.jpg

Leave A Reply