
MWANAMUZIKI Nai amepiga stori na Global Tv Online na kutambulisha rasmi wimbo wake mpya wa Sio Saizi Yao na kufafanua baadhi ya mistari inayopatikana kwenye wimbo wake huo.
Nai amemzungumzia Diamond na kusema kuwa Diamond sio Saizi yao. Pia Nai ametoboa siri kuwa ameishia kidato cha tatu tu.