Katika kuunga mkono jitihada za uthibiti wa maambukizi ya Virusi vya Ukimwi nchini, leo ikiwa Siku ya Ukimwi
duniani, Benki ya NMB imetoa msaada wa ticheti zilizovaliwa katika hafla ya maadhimisho mjini Moshi na elimu
kuhusu umuhimu wa kukata bima ya afya.
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Mhe.Anna Elisha Mghwira amepoka msaada huo uliotolewa na benki ya NMB kwa ajili ya maadhimisho hayo ya siku ya ya Ukimwi duniani.