×

Ruvuma kinara uzalishaji mazao ya nafaka

Rais Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Mkuu mkoa wa Ruvuma, Charles Makongoro Nyerere tuzo baada ya mkoa huo kuibuka kinara kwa uzalishaji wa mazao ya nafaka na kufuatiwa na mikoa Rukwa, Mbeya.

 

Rais Samia Suluhu Hassan akimkabidhi tuzo Mkuu mkoa wa Rukwa, Charles Makongoro Nyerere baada ya mkoa huo kushika nafasi ya pili na kutanguliwa na Ruvuma ambao ndio kinara kwa uzalishaji wa mazao ya nafaka. Nafasi ya tatu imekwenda kwa mkoa Mbeya.

Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amefafanu kuwa katika mazao yasiyokuwa ya nafaka mkoa wa Kagera, Kigoma na Mbeya pia umeingia kwenye kundi hilo.

 

Tuzo hizo zimetolewa leo tarehe 8 Agosti 2023 katika kilele cha sherehe za wakulima Nane nane zilizofanyika kitaifa katika viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya.

Leave a Comment