Waziri Mkuu Aikabidhi Cheti Nmb Kwa Udhamini Kongamano la Ugavi na Ununuzi
Global Publishers December 2, 2020 0 Comments
SHARE THIS:
Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akimkabidhi cheti, Kaimu Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya NMB, Benedicto Baragomwa(kushoto) kutambua mchango wa Benki hiyo kudhamini Kongamano la 11 la Wataalamu wa Manunuzi na Ugavi(PSPTB) linalofanyika jijini Arusha,wa pili kulia ni Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amemkabidhi cheti, Kaimu Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya NMB, Benedicto Baragomwa kwa niaba ya benki ya NMB kutambua mchango wa Benki hiyo kudhamini Kongamano la 11 la Wataalamu wa Manunuzi na Ugavi (PSPTB) linalofanyika jijini Arusha.