
Hakuna kitu kinaumiza kwenye uhusiano kama usaliti lakini unakuta mwanaume anakusaliti na bado anakuletea dharau mpaka kufikia kiasi cha kumleta mpaka mahali mnapoishi, yaani kitanda mnacholalia ndicho anacholalia na mchepuko wake kisha wanafanya mambo yao! Inauma sana.
Kwa jina naitwa Mariam, ni mwanamkze mwenye umri wa miaka 35, niliolewa miaka kadhaa iliyopita na Mungu ametujaalia kupata watoto watatu. Naishi Tegeta na mume wangu.
Mimi na mume wangu tulikuwa tunapendana sana tangu tulipooana, ndoa yetu ilikuwa miongoni mwa ndoa bora kabisa kiasi kwamba hata mashoga zangu walikuwa wananionea wivu kwa jinsi mume wangu alivyokuwa ananipenda na kunijali. Hakuna nilichotaka mume wangu akashindwa kunipatia.
Hata hivyo, baadaye mambo yalianza kubadilika kwenye ndoa yangu. Ile amani na upendo vilivyokuwa vimetawala muda wote, vikaanza kuyeyuka, ndoa ikaanza kuwa na matatizo kila kukicha.
Mume wangu alianza kuonesha mabadiliko makubwa sana ya kitabia, awali kila mmoja alikuwa huru kushika simu ya mwenzake lakini mume wangu akaanza kukatalia nisiguse simu yake na ikitokea nimeishika basi unaibuka ugomvi mkubwa kati yetu.
Ikafika mahali akaweka password nyingi kwenye simu yake na ikawa hata akirudi kazini, hana muda na mimi tena, muda wote yuko bize na simu yake mpaka usiku wa manane. Hali hii iliniathiri sana kisaikolojia hasa kutokana na ukweli kwamba nilikuwa nampenda sana mume wangu.
Nikawa najiuliza amepatwa na nini? Sikupata majibu. Ikafika mahali hata haki yangu ya ndoa akawa hanipi tena. Nilijaribu mara kadhaa kumuuliza kwa upole ili kama kuna kosa ambalo pengine nimemkosea bila mimi kujua, basi nimuombe radhi na anisamehe ili mapenzi yetu yaendelee kama zamani lakini haikusaidia chochote! Akawa ananionesha chuki za waziwazi.
Nilivumilia sana, mwisho ikabidi niombe ushauri kwa shoga yangu wa karibu. Nilipanda daladala na kwenda mpaka Makumbusho anakofanyia kazi huyu shoga yangu. Baada ya kumueleza matatizo yangu, akaniambia kuna mtaalamu yeye anamfahamu na ndiye aliyemsaidia kupata kazi baada ya kuhangaika miaka mingi bila kupata kazi tangu alipomaliza chuo.
Aliniambia kwamba mtaalamu huyo anaitwa Dokta Kiwanga na anapatikana nchini Kenya, namba zake za simu ni +254 769 404 965 au website ya www.kiwangadoctors.com. Nikamuuliza huyo mtaalamu yupo Kenya na mimi nipo Dar es Salaam, anawezaje kunisaidia wakati yuko mbali? Akaniambia hilo siyo tatizo, hata yeye alimsaidia kwa njia ya simu na kumpa maelekezo yote na mwisho akafanikiwa kupata kazi.
Nilimshukuru na muda mfupi baadaye nilimpigia simu huyo Dokta Kiwanga, nikajitambulisha kwake na kumuelezea kila kitu kuhusu mume wangu. Nikamwambia kitu cha kwanza nataka kujua mume wangu amekumbwa na tatizo gani? Kwa nini amebadilika kiasi hicho? Akaniambia hilo ni tatizo dogo sana kwake.
Akaniambia kwamba yeye atafanya mambo yake hukohuko aliko kisha nitayaona matokeo ndani ya saa ishirini na nne. Basi niliagana naye, nikarudi pale kazini kwa shoga yangu na kumshukuru sana. Kwa kuwa bado ilikuwa ni asubuhi, nilimuaga kwamba narudi nyumbani kwangu kwa ajili ya kwenda kuwapikia wanangu ili wakirudi shule jioni wasipate tabu.
Basi nilipanda daladala kutoka Makumbusho kurudi Tegeta nyumbani kwangu. Wakati naondoka nilimuaga mume wangu na kumwambia kwamba nitachelewa kurudi kwani kuna ndugu yangu anaumwa.
Nilipofika nyumbani, nilishtuka kuona gari la mume wangu likiwa limepaki nje, haikuwa kawaida yake kuwepo nyumbani muda huo, tena siku ya kazi, nikajua labda anaweza kuwa amepata dharura.
Nilipoingia getini na kusogea kwenye mlango wa kuingilia ndani, nilishtuka kuona kuna viatu vya mume wangu pamoja na viatu vingine vya kike, nikahisi pengine labda amekuja na mgeni. Cha ajabu, nilipoingia sebuleni sikumuona mgeni yoyote wala mume wangu.
Nikaamua kwenda kumuangalia chumbani, nilipokaribia mlango wa chumbani, nikashtuka kusikia miguno ya mwanamke ikionesha kwamba ni kama mume wangu alikuwa ameingiza mwanamke chumbani kwetu. Nilipigwa na butwaa nikiwa ni kama siamini.
Nikausogelea mlango huku nikitetemeka na kufungua mlango! La haualaa! Mume wangu alikuwa kitandani na secretary wa kazini kwao, wakiwa kama walivyozaliwa. Mwili uliniishia nguvu, nikabaki nimeduwaa nikiwa hata sijui nifanye nini. Yule mwanamke aliamka na kuchukua nguo zake, akaenda kuvalia sebuleni. Mume wangu naye akavaa nguo zake, mimi nikawa sijiwezi kwa uchungu, machozi yakawa yananibubujika kwa wingi.
Akili zilipokuja kutulia, ndipo nilipogundua kwamba yule mwanamke alishakimbia, nikatoka kumuangalia mume wangu, nikagundua kwamba naye alishaondoka na gari halikuwepo tena. Niliumia sana ndani ya moyo wangu lakini kwa jinsi ninavyompenda huyu mwanaume, nilijikuta nikimsamehe hata kabla hajaniomba msamaha.
Ajabu ni kwamba siku hiyo mume wangu hakurudi tena nyumbani mpaka asubuhi, kesho yake nikampigia tena simu Dokta Kiwanga kwa namba zake zilezile, +254 769 404 965, nikamueleza kila kitu kilichotokea na kumwambia kwa sababu nilishajua tatizo lililomfanya mume wangu abadilike, naomba arudi nyumbani ili tuyazungumze, akaniambia hiyo pia ni kazi ndogo sana kwake.
Akanipa maelekezo ya nini cha kufanya, kweli nikafuatisha kila alichoniambia. Jioni ya siku hiyohiyo mume wangu akarudi akiwa mpole sana, akaniomba msamaha na kuniambia kwamba ndugu zake ndiyo waliomshauri atafute mwanamke mwingine kwa sababu mimi sikuwa na kazi na akaniambia alikuwa amepanga kunifukuza ila ameyajua makosa yake.
Akaniomba sana msamaha na kuahidi kwamba hatarudia tena. Sikuyaamini macho yangu, nikamwambia nimemsamehe na ninachotaka tuishi vizuri na kuwalea watoto wetu.
Ilibidi baadaye nimpigie simu Dokta Kiwanga kumshukuru, akaniambia pia anashughulika na matatizo mengine mengi ikiwemo wanandoa wanaokosa watoto, wanaohangaika bila kupata kazi lakini pia anatibu magonjwa yote sugu kama kisukari, presha, TB na magonjwa mengine yaliyoshindikana hospitali.