×

Ndugai Kuwaapisha Wabunge Wawili wa JPM

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai, leo Desemba 8, 2020, atawaapisha wabunge wawili walioteuliwa na Rais John Magufuli, Desemba 5, 2020, katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.

Leave a Comment