Ndugai Kuwaapisha Wabunge Wawili wa JPM Global Publishers December 8, 2020 4,626 views 0 Comments SHARE THIS: SPIKA wa Bunge, Job Ndugai, leo Desemba 8, 2020, atawaapisha wabunge wawili walioteuliwa na Rais John Magufuli, Desemba 5, 2020, katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma. SHARE THIS: