Leo Desemba 9, 2020 Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Dkt.John Pombe Magufuli amewaapisha mawaziri na Manaibu waziri alio wateua kukamilisha baraza lake la Mawaziri ikulu ya Chamwino Dodoma.