×

Pacha Wa Morrison Alivyotaka Kujirusha Kwa Mashabiki -Video


Pacha wa Mchezaji wa Simba, Beranrd Morrison Desemba 10, 2020 ametinga katika Uwanja wa Mkapa kushuhudia mechi ya Simba dhidi ya Polisi Tanzania ambapo Simba wameshinda kwa mabao 2-0. Mabo yote yakifungwa na Clatous Chama akitokea benchi.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

 

Leave a Comment