The House of Favourite Newspapers

Breaking News: Bilionea Subash Patel Afariki Dunia

0
MWENYEKITI  Mtendaji wa Makampuni ya Motisun Group ambaye anatajwa kuwa miongoni mwa mabilionea wachache nchini Tanzania na mfanyabiashara, Subhash Patel amefariki leo Desemba 15, 2020.
Miongoni mwa makampuni na bidhaa alizokuwa akimiliki Subash ni kiboko Plastics, Kiboko Protected Sheets, MM Estates, White Sands Hotel, MMRDL, Neeklanth Cables, Pearlsun Hotel & Resorts, Sayona Drinks Ltd, Sea Cliff Hotel, Best Bite, Mamba Cement, MMI Steel na nyingine nyingi.
Tanzania imepoteza Mwana-Viwanda, Chalinze Imepoteza Mtoto na mwana Maendeleo. Najiandaa kuandika, nasita ila Nitaandika. Nilivyokufahamu, mapenzi kwa Chalinze kwenu, Tanzania na jinsi ulivyopokea Sera za Serikali ya Viwanda ya serikali ya Rais Magufuli #Nakulilia #Subash.Ridhiwani Kikwete.
Leave A Reply