×

Bilionea Subhash Kuzikwa Kesho Makumbusho, Dar

MAZIKO ya aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya Motisun Group ambaye anatajwa kuwa miongoni mwa mabilionea, wafanyabiashara  wachache nchini, Subhash Patel yatafanyika kesho Alhamisi, Desemba 17, 2020 eneo la Makumbusho-Hindu Kijitonyama, Dar es Salaam.

Patel alifariki dunia Jumanne, Desemba 15, 2020.

 

 

Leave a Comment