MTU mmoja anayedhaniwa kuwa ni jambazi ameuawa na Jeshi la Polisi mkoani Mbeya baada ya majibizano ya risasi na jeshi hilo huku wenzake wanne wakikimbia.