CHINA itatoa ‘yen’ milioni moja ambazo ni sawa na takriban sh. milioni 358 za Tanzania kwa ajili ya ujenzi wa Chuo cha Ufundi na Stadi (VETA) huko Chato mkoani Geita.
Hayo yamesemwa leo na Waziri wa Mambo ya Nje ya #China, Wang Yi, akiwa Chato.