MWANADADA Ruska Renatus ambaye kwa sasa anafanya muziki wa injili ameeleza namna alivyopitia magumu kabla ya kuamua kuokoka ambapo alikuwa akifanya kazi kama mhudumu wa Bar hali iliyomfanya kupata usumbufu mkubwa kutoka kwa wateja.