
Hatimaye Staa wa filamu za kibongo, Aunt Ezekiel leo Januari 10, 2021 amemuibua baba wa mtoto wake aliyejifungua hivi karibuni na kuondoa wingu lililokuwa limetanda kuhusu suala hilo.
Aunt Ezekiel alimuanika msanii wa Bongo Fleva, Kusah kuwa ndiye baba wa mtoto huyo kwenye sherehe ya mtoto huyo kutimiza siku 40 toka azaliwe.