×

Exclusive: Mke wa Ricardo Momo Aifungukia Familia ya Mondi – Video


MWEZI Septemba, mwaka jana 2020, GLOBAL TV ilifanya interview na, Malaika, Mke wa Ricardo Momo ambaye ni meneja wa Lavalava kuhusiana na maisha yake kwa ujumla, na hii ni baada ya kutrendi kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuonekana akiingia na Diamond kwenye hafla ya uzinduzi wa album ya Romy Jons.

Leave a Comment