×

Tanzia: Naibu Kamishna Magereza Afariki Dunia

NAIBU  Kamishna wa Magereza, Julius Sang’udi, amefariki dunia katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma leo Jumatano, Januari 20, 2021.

 

Taarifa ya kifo cha Sang’udi imetolewa na Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini, Meja Jenerali Suleiman Mzee.

 

Sang’udi  aliwahi pia kuwa Mkuu wa Magereza Mkoa wa Mbeya.

Leave a Comment