×

Rais Samia Amwapisha Balozi Mndolwa – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemuapisha aliyekuwa Balozi Mteule Yusuph Mndolwa Tindi kuwa Balozi na kuwa Mkuu wa Itifaki (Chief of Protocol-CP), leo tarehe 19 Aprili, 2021, asubuhi hii, Ikulu ya Chamwino Dodoma.

Leave a Comment