
MKUU wa Wilaya ya Mjini (Zanzibar), Rashid Msaraka, ameanza operesheni ya kuwanyoa nywele vijana wenye umri chini ya miaka 18 wanaofuga rasta (dreads) na wanaonyoa panki.
Amesema ikiwa wanaitaka mitindo hiyo ya nywele wakafugie sehemu nyingine na endapo wazazi wao wameshindwa kuwakata hizo nywele, yeye atawakata.