×

Video: Mwili wa Mbunge Nditiye Waagwa Bungeni Dodoma

MWILI wa aliyekuwa mbunge wa Muhambwe mkoani Dodoma, Mhandisi Atashasta Justus Nditiye, unaagwa katika viwanja vya Bunge, leo Februari 13, 2021.

Leave a Comment