×

Video: Mwenyekiti wa Kanisa Matatani kwa Kumpa Denti Mimba

Mwenyekiti wa kanisa Katoliki Mkoani Shinyanga amejikuta katika matatizo mazito baada ya kutuhumiwa kumpa Ujauzito mwanafunzi wa kidato cha pili hali iliyosababisha mwanafunzi huyo kukatisha masomo yake.

Leave a Comment