×

Mwanafunzi Mbaroni Akidaiwa Kumlawiti Mwenzake

MWANAFUNZI (13) wa darasa la sita wa Shule ya Msingi Maguja anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumlawiti mwanafunzi mwenzake wa darasa la tatu wa Shule ya Msingi Likangara.

 

 

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoani humo, Foka Dinya, amesema kukamatwa kwa mtuhumiwa kumetokana na baba wa mtoto anayedaiwa kufanyiwa kitendo hicho kumbaini kijana wake akiwa amekosa uchangamfu na kutembea kwa shida.

Leave a Comment