×

Mbunge Nyongo Apata Ajali – Video

Mbunge wa Maswa Mashariki Stanslaus Nyongo amepata ajali Maeneo ya mkalama Mkoani Singida akiwa njiani kuelekea Meatu kwenye Mazishi ya Mwenyekiti wa Ccm Mkoa wa Simiyu, Wahanga wote wapo vizuri Kiafya hamna aliyeumia.

Leave a Comment