×

Breaking: JPM Amteua Dkt. Bashiru Kuwa Katibu Mkuu Kiongozi

 Rais John Magufuli leo Februari 26, 2021 amemteua Katibu Mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally kuwa Balozi, katibu mkuu kiongozi kuchukua nafasi ya Balozi John Kijazi aliyefariki dunia Februari 17, 2021.
Dkt. Bashiru Ally Kakurwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi akichukua nafasi ya Balozi John Kijazi aliyefariki dunia Februari 17. Pia, Rais Magufuli amemteua Dkt. Bashiru Ally Kakurwa kuwa Balozi.

Leave a Comment