STAA wa muziki wa Bongo Fleva anayekiwasha chini ya Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Mbwana Yusuf ‘Mbosso’ ameachia video ya Yalah kutoka kwenye album yake.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx